HakunaSikuweka bro, hakuna mamna nyingine ndugu yangu?
Kwani Iphone zinatumia OS gani? Kama ni Android basi kwenye mtandao kuna free apps za ku-recover data kwa kutumia computer, ila kwa Iphone sina uhakika kama tools hizo ziko freely available, jaribu kucheck.
Zinatumia iOS tu kama hajaweka icloud hizo data sijui kama inawezakana kuzirudisha tena.Kwani Iphone zinatumia OS gani? Kama ni Android basi kwenye mtandao kuna free apps za ku-recover data kwa kutumia computer, ila kwa Iphone sina uhakika kama tools hizo ziko freely available, jaribu kucheck.
Zinatumia iOS tu kama hajaweka icloud hizo data sijui kama inawezakana kuzirudisha tena.
Ok uko sahihi, au awasiliane na apple kuona kama watamsaidia chochote.Mkuu ndiyo maani nimesema kama OS si Adroid ambayo ni open source i.e anyone mwenye ujuzi wa Linux OS distros can tinker around na Adroid kwa kui-customise unavyotaka, lakini linapo kuja suala la a Proprietary software kama iOS za Apple hapo nadhani kuna ugumu kidogo - maanake firmware zao sio open labda ukiwa an Authorised dealer servicewise that is, I might be wrong.
Ok uko sahihi, au awasiliane na apple kuona kama watamsaidia chochote.