Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
- Thread starter
-
- #21
haya mkuu but cost zinagonga ngap kwa harakaharakaHapo unaweza ukatumia computer software itakayokua na database kwa ajili ya kurekod bidhaa zilizopo,zilizouzwa(inarekod na mapato baada ya kuuzwa bidhaa hizo) pia inaonesha bidhaa zilizobaki.Faida ya software hiyo inakua na user accounts mbili ambazo ni ya wewe mmiliki kwa ajili ya kuangalizia mapato na pia akaunt ya muuzaj ambae anakua anarekod mauzo tu bila kujua kwamba ww utakuja kuangalia kilichouzwa na mapato yaliyopatikana,na mie natumia program hii ktk biashara zangu kwa kweli siibiwi.
Ukihitji program hii nambie nikupe namba za jamaa anaetengeneza.
c'mon hiyo email address yangu cio yako..
Hongera sana na pia pole sana kama uko DAR nitafute nadhani kwa 75% shida zako za kibiashara zitapungua tunafanya biashara hiyo hiyo ya HARDWARE kwa zaidi ya miaka 20 sasa na tuna vijiduka zaidi ya 5, pia hatuna haja ya kuajiri ndg wala jamaa wala kabila, nadhani utajifunza sana kutoka kwenye mfumo wetu
Mkuu hebu naomba utuwekee gharama ya hiyo program maana na wengine tunaihitaji sana.Hapo unaweza ukatumia computer software itakayokua na database kwa ajili ya kurekod bidhaa zilizopo,zilizouzwa(inarekod na mapato baada ya kuuzwa bidhaa hizo) pia inaonesha bidhaa zilizobaki.Faida ya software hiyo inakua na user accounts mbili ambazo ni ya wewe mmiliki kwa ajili ya kuangalizia mapato na pia akaunt ya muuzaj ambae anakua anarekod mauzo tu bila kujua kwamba ww utakuja kuangalia kilichouzwa na mapato yaliyopatikana,na mie natumia program hii ktk biashara zangu kwa kweli siibiwi.
Ukihitji program hii nambie nikupe namba za jamaa anaetengeneza.
Naomba uweke hadharani ili tujifunze na wengine wa mbali.asante kwa uwelewa wako mkuu
Kama limekushinda kuendesha funga duka fuga kuku
Haya nayaitaga mawazo mtindi!
[emoji1] [emoji1]Kuendesha duka vizuri, usipige kona za ghafla, usitumie breki ovyo. piga honi pale panapostahili tu.
Hongera sana tunahitaji watu wa aina hii kwenye mtandao au JF na mimi kuna siku nitakuja kwako.Hongera sana na pia pole sana kama uko DAR nitafute nadhani kwa 75% shida zako za kibiashara zitapungua tunafanya biashara hiyo hiyo ya HARDWARE kwa zaidi ya miaka 20 sasa na tuna vijiduka zaidi ya 5, pia hatuna haja ya kuajiri ndg wala jamaa wala kabila, nadhani utajifunza sana kutoka kwenye mfumo wetu
Jamaa anataka kuleta style za kina kanji. Apige 2m daily ila we unaemuuzia usubirie kulipwa 70 elfu mwisho wa mwezi. Huo ni ushenzi. Raha ya kazi ukitoka job mfukoni una 10-15 elfu hapo baba katoka kazini kweli sasa we uamke na mapumbu urudi kama ulivyoamka kweli. Hatuendi hivyo!Na ili wafanyakazi wako, Wasikuibie ni lazima uwalipe mshahara unaotosha,Sio unamlipa kijana wa watu elf 50 Alafu unankomalia kooni,Lazima wakukimbie na hapo ndio kipimo cha Ubinadam kinapoangaliwa kwa jicho la Ukaribu.
Hapo unaweza ukatumia computer software itakayokua na database kwa ajili ya kurekod bidhaa zilizopo,zilizouzwa(inarekod na mapato baada ya kuuzwa bidhaa hizo) pia inaonesha bidhaa zilizobaki.Faida ya software hiyo inakua na user accounts mbili ambazo ni ya wewe mmiliki kwa ajili ya kuangalizia mapato na pia akaunt ya muuzaj ambae anakua anarekod mauzo tu bila kujua kwamba ww utakuja kuangalia kilichouzwa na mapato yaliyopatikana,na mie natumia program hii ktk biashara zangu kwa kweli siibiwi.
Ukihitji program hii nambie nikupe namba za jamaa anaetengeneza.
kama duka lako ni kubwa na unamtaji wa kutosha unaweza funga cctv ambazo unaweza kuangalia biashara yako hata ukiwa mbali kupitia internet ,inaweza saidia kugungua wizi mapema na kuziba mianya, bei ni kuanzia 1M na kuendelea ukihitaji ni pm unipe namba yako nitakuunganisha na fundi
1. Jenga utamaduni wa utafutaji (entrepreneurial Culture) kila mmoja ajue msingi na namna ya kuzalisha/kutengeneza pesa km customer care, matumizi stahiki/ ya rasilimali zote za biashara akiharibu inakula kwake, akiiba anajiibia mwenyewe hakuna hapa tajiri na mfanyakazi wote ni wadau na ni wabia kwa namna fulani.
2.Jenga Maadili, uongozi, na sera za kazi (management policy) hata kama wako 3 tu, team working, ikifika wakati wa kazi hakuna bosi wala kibaraka wote kazi tu,
3. Mifumo miwili ya usimamizi wa rasilimali zote mmoja wa kutumia computor program( sisi tunatumia QUICKBOOKS) na wa pili wa kawaida wa vitabu (sales, purchases, Expenses, Debtors, Creditor)Registers, journals, Ledgers, Bin Cards n.k=====++++ KUMBUKA hii mifumo lazima iende sambamba ISIINGILIANE kabisa Na wahusika ikibidi wawe tofauti kwani mmoja ana mkagua mwezie ni meneja/mkurugenzi tu anayeweza kuitumia kwa pamoja na kubaini ukweli/ uhalisia
Leo naishia hapo mwenye swali aulize au anitafute kwa kuelewa zaidi