Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Pole sana.kama unawanyanyasa wafanyakazi ni lazima na wao wa kutese so kama ni hivyo badilika
We kabila gani?
Unaweza kazi alafu sory km huna uhakika na jinsia ya mtu jaribu kugeneralize maana nimejiskia vibaya (RED)Niajiri mm.pia cjui kaka cjui dada unatakiwa kuchukua mtu anayejua biashara na anayeweza kuogea na mteja vizuri sio wote wanawexa biashara mpenz so kuwa mwangalifu kwa hilo kuuza kipaji
unaweza kazi alafu sory km huna uhakika na jinsia ya mtu jaribu kugeneralize maana nimejiskia vibaya (RED)
ila km unaweza karibu fanya mawasiliano PM/ zuberiamiri@hotmail.com
Na ili wafanyakazi wako, Wasikuibie ni lazima uwalipe mshahara unaotosha,Sio unamlipa kijana wa watu elf 50 Alafu unankomalia kooni,Lazima wakukimbie na hapo ndio kipimo cha Ubinadam kinapoangaliwa kwa jicho la Ukaribu.
Na hata kama anamlipa 50,basi amgharamikie angalau chakuka na malazi.
wakuu kwa hili hamna shida kabisa maana ninawalipa vizuri na wanaish kwangu na chakula mbaya zaid hata sikukuu 60% nahusika mimi juu yao...ndio kinachonifanya niumie sana hadi nashindwa kukuza mtaji wangu naogopa nisije kucheza sandakaraweNa ili wafanyakazi wako, Wasikuibie ni lazima uwalipe mshahara unaotosha,Sio unamlipa kijana wa watu elf 50 Alafu unankomalia kooni,Lazima wakukimbie na hapo ndio kipimo cha Ubinadam kinapoangaliwa kwa jicho la Ukaribu.
Kuendesha duka vizuri, usipige kona za ghafla, usitumie breki ovyo. piga honi pale panapostahili tu.
Ndugu kupigwa haikwepeki,hata bakhresa anapigwa,tena sana tu,ilimradi wasikufilisi,angalia kama ni wachapakazi,ukigundua umepigwa Kata mshahara,usifukuze watu kazi hovyo.
Kuendesha duka vizuri, usipige kona za ghafla, usitumie breki ovyo. piga honi pale panapostahili tu.
Hapo unaweza ukatumia computer software itakayokua na database kwa ajili ya kurekod bidhaa zilizopo,zilizouzwa(inarekod na mapato baada ya kuuzwa bidhaa hizo) pia inaonesha bidhaa zilizobaki.Faida ya software hiyo inakua na user accounts mbili ambazo ni ya wewe mmiliki kwa ajili ya kuangalizia mapato na pia akaunt ya muuzaj ambae anakua anarekod mauzo tu bila kujua kwamba ww utakuja kuangalia kilichouzwa na mapato yaliyopatikana,na mie natumia program hii ktk biashara zangu kwa kweli siibiwi.HABARI ZENU WAKUU,
mimi ni kijana nnaye miliki hardware mtaan kwetu,ni miaka mitatu tangu nifungue biashara yangu .na niliwah kuisimamia biashara hii (yani kukaa mwenyewe golini kuuza na kufunga mahesabu)kwa muda wa miezi 8 tu kutokana ninasoma ilinibidi niajiri kijana kwa ajili ya kuuza na tangia mwishon wa mwaka 2011 hadi sasa nimeajiri sio chini ya vijana watatu yani kila mmoja nnamtimua kulingana na kosa/tabia zake ikafika wakati hadi mama yangu mzazi akawa anasimamia na biashara ilienda vizuri sana hadi nikatamani bimkubwa aendelee kutokana nae alinishikia tu kwa muda nhadi nipate kijana na yeye aendelee na shughuli zake ..ila sasa kijana nilie nae anakaribia miez 8 ila nimemuona kama kashaanza kuwa mjanjamjanja hivi.
Kiukweli japo nipo busy sana ila najitahidi kuwabana sana lakini mambo yanakuwa tofaut kama nikuza mwenyewe au bimkubwa inakuwa vizuri ile miezi ya kwanza kiasi kwamba nnasema hapa nimepata kijana nnamuamini mwishowe viswahili vinazid na kila nikikuta shot dukan kuna mawili eiza kukata kwenye mshahara au kuanza upya mahesabu(kama unavyo jua unapo lala mwenzio anaamka)
Ila tatizo langu kubwa lililo nileta hapa ni...nimeshajigundua kuwa utaratibu wangu ktk kuchukua takwimu ya vitu vya hardware ni mbovu(duka limesheheni vikorokoro vingi) inshort natumia mfumo wakuandika vifaa vyote vya dukani na idadi yake then nikija (may be after 3weeks) kuangalia mzunguko wa vifaa km vipo sahihi...na nimejaribu kufanya investigation kwenye hardwarebaadhi ya mtaani kwetu naona wengi wao wanauza/simamia wenyewe...wachache wapo kama mimi ila kilio ndio kilekile tena wengine zaid yangu..
NAOMBENI USHAURI MLIO WENGI MNATUMIA UTARATIBU GANI AU HATA KAMA UPO WAKIELECTRONIC/CMPTER NISAIDIEN KIMAWAZO...ILI KUEPUKA HII DHAhMA YA KUFUKUZA WATU KILA LEO NA KAMA KUNA NJIA MBADALA TUJUZANE TUU..maana hali imekuwa tete
Loh naomba nisamehe kwa kujisikia vibay
Mm mbona sina hotmail