Msaada: namna ya kudownload muv kwenye simu.

Msaada: namna ya kudownload muv kwenye simu.

hilar

New Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Kama mada inavyojieleza naomba mnifahamishe namna ya kudownload muvi kwa kutumia simu
 
Kama mada inavyojieleza naomba mnifahamishe namna ya kudownload muvi kwa kutumia simu
Nenda google dawnload app ya VIDEODER ukifanikisha install halaf ifungue itakuruhusu kudawnload kila aina ya video haijalishi iko YouTube na nyimbo audio
 
Mkuu pitia huu uzi

 
Back
Top Bottom