jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 705
- 1,032
natumia simu ya nokia lumia 920....kwa yeyote aliyewahi kufanikiwa naomba tujuzane alifanyaje
Nadhani hiyo kwenye playstore ni kwa simu za Android na yeye simu yake ni windows hivyo hawezi kutumia hiyo app.Jamiiforums haipo kwenye Tapatalk
Jaribu kudownlaoad Jamiiforum app PlayStore
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.quoord.jamiiforums.activity