Msaada namna ya kubadili gmail account keeny play store

Msaada namna ya kubadili gmail account keeny play store

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,116
Reaction score
2,248
Habari za majukumu kaka na dada zangu hapa jf. Samahani ninataka kubadiri gmail account kwenye play store ya simu yangu lakini nashindwa. Natumia samsung galaxy grand prime pro. Naombeni mnieleweshe. Natanguliza shukrani kwenu
 
Remove first account. Kisha sign in kwa kutumia account unayohitaji kuitumia.
 
Nenda kwenye settings za simu yako tafuta sehemu imeandikwa add account>add Google account.
Ukifanikiwa nenda kwenye play store utaikuta then utaweza sasa kuchage.
Huwezi kuweka Google account nyingine directly mpaka utumie hiyo njia hapo juu.
 
Thank you. Nitakupa mrejesho
 
Nenda Gmail account yako settings, add account kwanza then kweny settings hapo hapo select manage account chagua account unayotaka kuremove simple tu
 
Ninawashukuru sana ndugu zangu. Nimefanikiwa. Mungu awabariki sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom