jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,980
- 4,284
Waungwana,
Ninahitaji ku-update ios ya Ipad Air kutoka 6.1.2 Version kwenda Version za juu kwa maana ya 7 au 8.1
Nimefuata procedure za kawaida za ku update but inashindikana. Nina click update kwenye General - Settings - Software update haimalizi inazunguka tu '' Looking for updates''
Nimezunguka forum mbalimbali za apple products lakini sijapata ufumbuzi.
Asante.