Msaada namna ya ku-copy video ya Instagram

Msaada namna ya ku-copy video ya Instagram

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,310
Reaction score
1,466
Please naomba kuelekezwa namna ya ku-copy video iliyopostiwa Instagram bila ku-copy link yote
 
EC9AB56F-0B27-45FF-B472-11872165967D.jpeg
Kama simu yako ipo rooted ; download Instagram plus app in download videos kama ilivyo. Utaona kamshale ka ku download chini kulia kwa kila video .

Kama haipo rooted na una android nenda playstore, tafuta friendly App download halafu ifungue log in account yako ya instagram itafunguka kama kule kwenye original insta , tofauti kwenye friendly kuna option ya kudownload kama nilivyo screenshot hapo juu.

Kama ni mdau IOS Apple store wanayo friendly app pia
 
Kama unatumia android ingia playstore download insta downloader .. au fungua browser download apk file ya videoder then install itakupa option ya kudownload picha na video za instagram
 
Ma application mengi ya nini kwenye simu just ingia google search "OgInsta" download then install baada ya hapo login ukifika kwenye video husika click option(vidoti 3) pembeni ya video unayoiangalia italeta option ya kudownload click.
NB: OgInsta ukiwa nayo haihitaji uwe na instagram application
 
Back
Top Bottom