Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
- Thread starter
-
- #21
Daaaaaah sawa, but hawatoi taarifa mkuu ndo tatizo yaani mtu haujui tatizo lako.Mkuu Whatsapp wana term na condition zao kwa wateja wao namna gani ya kuitumia bila kuharibu hayo masharti. Kwa swala lako ni lazima kuna violence umefanya kwa kutokujua au makusudi au kuna mtu amekuripoti kwa activity zako ndo maana umefungiwa. Hapo tafuta line ingine then endelea kutumia Whatsapp.
pole chiefHapana natumia WhatsApp messenger plus ile ya kawaida kabisa.
Asante sana kaka mkubwa kwa kujali kwako[emoji120].
Kaka kama tatizo lako liliisha naomba msaada na Mimi limenikuta ilo iloAsante sana kaka mkubwa kwa kujali kwako[emoji120].
itumie namimi hiyo emali namba angu imekuwa banned plz tusaidiaeNitumie pm kaka
wenye shughuli za kitapeli ndio upigwa bann
itumie namimi hiyo emali namba angu imekuwa banned plz tusaidiae
Apologizen
itumie namimi hiyo emali namba angu imekuwa banned plz tusaidiae
Msaada ππ,Whatsapp yangu mpaka Sasa ni mwenz wa 3 uhuu kwanzia imepigwa Bunned,Kila nilijaribu kuifungua inanigomea ..msaada Jamani Kwa yeyote anayefaham kutowa Bunned Kwenye whatsapp anielekeze please π