Kwa swali lako hili unategemea upate maelezo ya kina kweli? Kuwa serious kdgo bas mkuu.Why applications zinagoma!
Kwenye simu unatumia 'app' au 'web'?Aisee kila nikipandisha picha ina load tu. Wenye uzoefu please nishabadilisha nikatumia computer wapiii... Nikaja simu wapiiiii... Msaada tutani
Kuna size ya picha wanayo ihitaji, angalia picha yako kama ina match na hivyo vigezo vyao.Aisee kila nikipandisha picha ina load tu. Wenye uzoefu please nishabadilisha nikatumia computer wapiii... Nikaja simu wapiiiii... Msaada tutani