Msaada: Nakula sana sinenepi wala kuongezeka uzito

Msaada: Nakula sana sinenepi wala kuongezeka uzito

Acha roho Mbaya utanenepa.
Ridhika na unachokipata.
Oa demu anayejua kupika manyam nyam.
 
Stress na punyeto achaaaa

Anza kula protein nyingi maziwa mayai karanga kwa wingi na nyama hasa kuku zama gym Anza kujenga upper body first ila jogging iwe kidogo wiki 3 nyingi mzee
 
Back
Top Bottom