Kaombewe upesi Kanisani / Msikitini utakuwa una Jini linakunyonya Damu na hicho Chakula chako chote unachokula Ndugu.Sijui nina minyoo au laah, maana kama kula na kula sana ila sinenepi wala kuongeza uzito wataalam ebu nipeni ushauri.
Ahsante [emoji120][emoji120]
Sijui nina minyoo au laah, maana kama kula na kula sana ila sinenepi wala kuongeza uzito wataalam ebu nipeni ushauri.
Ahsante [emoji120][emoji120]
Kuna rafiki yangu aliniambia 'unataka unenepe kwani unaenda buchani? HahaKwanza tueleze unakula nini? Hautanenepa kama unakula sana mboga za majani. Kwanza unataka uenene wa nini? Magonjwa hayo.