Najua kwa kufika hap na kuandka hya ntawza kupata suluhisho sahihi kwa kile kinacho nisumbua wataalam wa saikolojia naomba mnisahidie juu ya hili mimi ni kijana me.
Kuna tatizo linanisumbua sna tatizo langu huwa nakosa furaha ya maisha furaha ikitokea bas huwa niyamuda mfupi tu inafkia hatua natumia vilevyi hyo ndo naona ndo furaha yangu mpka nmekua addictated pia nimeanza kuwa na hasira sana kiasi kwamba mda wowote naweza badilika hivyo hata watu pia hushindwa kunielewa hasa mpenzi wangu.
Mda mwingine nataman inisiwe karibu na mtu yoyote yule najiona sina msaada wala uwezo wowote kwa jamii yangu najiona nmetengwa sielewi kabisa mpka huwa naona hali inapoenda inakuwa mbaya zaidi nahisi naweza kuwa hata kichaa nashindwa hata kusoma kabisa kila nachofanya najikuta nakua board nacho kabisa sijui nifanye nini.?
Muda mwingine hii hali tunaweza kuiita upweke .unaweza ukasababishwa na mtu mwenyewe kwa maana ya kwamba unapesa lakini unaona bado hujakamilika unahitaji zaidi ile hali yakutopata kitu kwa wakati unaohitaji unaweza sababisha hii hali
Una mpenzi /mke/mme lakini bado unahisi kuna kitu kina pungua kwa huyu mtu wako
Unaombwa msaada na ndugu au unatakiwa kutatua tatizo fulani lakini haliwezekani kwa muda huo kwasababu huwezi kulitatua hii pia husababisha Kuna sababu inayopelekea wewe kujihisi hivyo ni nini hasa?
Watu wa imani wanasema kama mtu ulikataliwa na baba yako au mama yako kuna rorho ya kukataliwa hii inamfanya mtu ajihisi mpweke kila mara
Au umelelewa na ndugu ambao walikuwa wanakutreat vibaya hii pia hufuatilia dexterous
mkuu jichanganye katika michezo kama soka, volleyballl, basket na wewe uwe unacheza. inafanya ujichanganye na watu wengi na utani mwingi. achana na pombe zinazingua tu. pia ukiwa home alone achana na filamu, just tulia angalia mipango yako ya kesho na ifannyie kazi. kama kuna mtu unamchukia yaweza kuwa sababu, suluhisha tatizo. kubwa zaidi if possible kila jioni nenda ibada usikilize mafunzo ya biblia.....hii ni kwa kanisa lolote au msikitini maana nyumba za ibada zote zinautaratibu wa ibada siku za wiki. usingojee jumapili haitoshi. pamoja sana
Shetani yupo hivo yawezekana kuna nguvu za giza zitokanazo na shetani zinakufatilia. Nakushauri usimame katika kumwamini Mungu hakika atafanya jambo juu ya maisha yako na hiyo hali itatoweka kabisa
Asee hata mimi hali hii iliwahi kunitokea siku za nyuma. Kitu nilichofanya ni kubadili mwenendo wa maisha yangu.
Niliwzasnavtu gai vinniany niwe na hali hii.nikaachana navyomara moja.Kimojawapo nihali ya kutokuidhika kwangu na kujionami sicjocote among people.
Navingne ni baadhi ya watu ambao walikua wananifanya nhisi niko chini yao.
Nlbadilika kila ktu asee asa hivinainjoitu maisha yanu.
****punguza au acha kunywa grandmalt...
****sex usifanye ubadiduuu...hormone/testesterone hizo zimezidi damuni.
*****acha au punguza kula saana nyama nyekundu
ila kikubwa kuliko vyote gongana
Watu wa imani wanasema kama mtu ulikataliwa na baba yako au mama yako kuna rorho ya kukataliwa hii inamfanya mtu ajihisi mpweke kila mara
Au umelelewa na ndugu ambao walikuwa wanakutreat vibaya hii pia hufuatilia dexterous
change of your life style itakusaidia sana na kikubwa ni utegemezi wako kwa pombe kupata furaha....acha pombe tafuta mbadala wake na hasa iwe kuangalia tv na hasa entertainments channels, kufanya mazoezi ya viungo na pia badili marafiki wako...kuwa mtu wa kupenda kutembelea beach na pia vituo vya kulelea watoyo yatima ..hii itakusaidia kujiona una thamani kubwa sana na sababu kubwa ya kuendelea kuishi.
tafuta kiongozi wa kiimani atakusaidia kukujenga kiimani na kuamini kuwa ni mungu pekee unayepaswa kumtumainia naye hashindwi kitu.