tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
wakuu habari, naomba ambaye anaweza akanipa format ya video format ambayo ni compatible na DVD-player, pamoja na video coverter kwa ajiri ya hiyo format. natanguliza shukrani
Tumia format ya .avi na video converter nyingi tu free online unaweza pata zinaweza peleka format hiyo..