Plantain banana!! Au green banana mkuuMkuu, ukitaja ndizi... mie nawazaga mbali sana.
Ama ni banana gani yenye unaitakia unga chief....[emoji53] [emoji52]
Sawa mkuu....Plantain banana!! Au green banana mkuu
Hata Mimi nataka nijue fursa hiziSio utani unga wa maembe upo sana na unatengenezea keki
Mimi nilishangaa kuona hii kama unajua matumizi yake kama mboga uniambie nipikeView attachment 875710
Nimeona kwenye duka la wahindi ulayaHata Mimi nataka nijue fursa hizi
Fanya uchunguzi utuletee na sisi huku maana haya madude huwa tunayakata na kuyatupa kumbe ni chakula kizuri tuNimeona kwenye duka la wahindi ulaya
Sijui wanapika namna gani
Hawatupi kitu mkuu mpaka majani ya mgomba yanatumika kwa kulia chakula
Nahitaji unga wa maembe pia, Mwenyenao au kampuni inayotengeneza, Aje Pm
Kwanza nitoe samahani kwa kuvamia uzi wa mleta mada.Fanya uchunguzi utuletee na sisi huku maana haya madude huwa tunayakata na kuyatupa kumbe ni chakula kizuri tu
Msaada nahitaji unga wa ndizi au kampuni inayotengeneza (plantain flour )
0763166975 namba yangu hiyo mkuuAkupate kwa njia gani sasa? Nipe mawasiliano yako nikuunganishe naye.
Mawasiliano haya mkuu..0763166975Nimetuma link hii kwa mtu anayefanya kazi hii. Unga wa ndizi ni mzuri sana. Je akupateje?
Ndio mkuu ...nimeona wale jamaa wapo makini sana na vitu ambavyo sisi tunaona havina maanaKwanza nitoe samahani kwa kuvamia uzi wa mleta mada.
La pili mimi ni supplier mdogo wa vyakula vya aina zote (nje ya nchi)
Nahududumia nyanja nyingi sana na jambo la kuhuzunisha bidhaa zote zipo nyumbani lakini hatujui kuvitumia
Kwa mfano maganda yote ya matunda tunatupa lakini wenzetu wanakausha na kuwa unga kama machungwa nk
Hata mbegu zote nauza kama za komamanga nk na zinahitajika sana
Lemon powder na orange powder zinatumika kwa keki lakini sisi tunatupa tu
Hawatupi kitu hawa jamaa na wazungu ndio kabisaa wanabuni kila kitu ingawa hawalimiNdio mkuu ...nimeona wale jamaa wapo makini sana na vitu ambavyo sisi tunaona havina maana
Mkuu tafadhali fungua Uzi hili ni somo tosha la fursa kwa vijana....we fikiria km mjini Dar machungwa yanavyolika wewe ukiwa kazi yako ni kukusanya maganda na kuyatengeneza kwa mahitaji mengine na kukuingizia kipato....Kwanza nitoe samahani kwa kuvamia uzi wa mleta mada.
La pili mimi ni supplier mdogo wa vyakula vya aina zote (nje ya nchi)
Nahududumia nyanja nyingi sana na jambo la kuhuzunisha bidhaa zote zipo nyumbani lakini hatujui kuvitumia
Kwa mfano maganda yote ya matunda tunatupa lakini wenzetu wanakausha na kuwa unga kama machungwa nk
Hata mbegu zote nauza kama za komamanga nk na zinahitajika sana
Lemon powder na orange powder zinatumika kwa keki lakini sisi tunatupa tu
Mimi niko nje ya Tz na ninafanya sana hizo biashara na kama ni kutengeza inahitaji mashine za kusaga na kukaushaMkuu tafadhali fungua Uzi hili ni somo tosha la fursa kwa vijana....we fikiria km mjini Dar machungwa yanavyolika wewe ukiwa kazi yako ni kukusanya maganda na kuyatengeneza kwa mahitaji mengine na kukuingizia kipato....
Hebu mkuu fanya mpango Uzi uandike " je wajua kwamba......" Alafu utudodose kila kitu ambacho sisi hatufahamu matumizi yake tupo humu kuelimishana na kutoana tongotongo
NB
Ukianzisha Uzi initag nahitaji fursa km hizi
Kutupa dodosa mbalimbali sio mbaya ya mambo ya vyakula hata huku tunaweza kutumiaMimi niko nje ya Tz na ninafanya sana hizo biashara na kama ni kutengeza inahitaji mashine za kusaga na kukausha
Huko hawatumii sana ila kwa ulaya na india au pakistan na middle East wanatumia sana kwa kupikia
Asante kwa kuliona hilo lakini fursa zipo nyingi sana ila pa kuanzia na mpaka vigezo vyote ndio mtihani huko