NAHITAJI SOIL STABILIZER MACHINE YA KUKODI β DAR ES SALAAM
Habari wana JamiiForums,
Natafuta Soil Stabilizer Machine / Recycler ya kukodi kwa ajili ya kazi ya road construction/soil stabilization, preferably Wirtgen WR series au machine yenye uwezo unaofanana.
π Location: Dar es Salaam
π§ Inahitajika kwa: C1 works
π
Rental: Short-term
0753403263
Mwenye kampuni, contractor au anayejua sehemu yenye machine hiyo ya kukodi tafadhali ni-PM au acha contact hapa.
Asanteni.