Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 721
- 207
Nipo dar mkuuUko wapi? Ofer yako ngapi?
Mkuu ninayo HP 1100 series, wino umekwisha,naweza kukuuzia kwa gharama ya shilingi elfu 50000/=Ngoja ni Ku pm
Wino wake ni sh ngapiMkuu ninayo HP 1100 series, wino umekwisha,naweza kukuuzia kwa gharama ya shilingi elfu 50000/=
Kuna hp laser 1515 unaweza kuscan, photocopy na print. Wino sio ishu unaweza kuwa unajaza gharama zake ni Sh 5000 hadi elfu 7000 kwa cartiledge na mkonge nategemea upo maeneo gani. Suala la kutumia wino sana inategemea na kazi zako mwenyewe. Bei ya new cartiledge pair inafika elfu 50. Wino umeisha. Naamini utaifurahia sana. Bei nipe elfu 90 maongezi yapo.Habari yenu wana jamvi,
Nahitaji printer ya black and white only ambayo haina matumizi makubwa ya wino, naomba kwa wenye uzoefu tuwasiliane.
Asanteni sana
Hapo kwenye cartilage ndo sijakuelewa kabisa....ndo nin hiyo na kazi yake ni nin?Kuna hp laser 1515 unaweza kuscan, photocopy na print. Wino sio ishu unaweza kuwa unajaza gharama zake ni Sh 5000 hadi elfu 7000 kwa cartiledge na mkonge nategemea upo maeneo gani. Suala la kutumia wino sana inategemea na kazi zako mwenyewe. Bei ya new cartiledge pair inafika elfu 50. Wino umeisha. Naamini utaifurahia sana. Bei nipe elfu 90 maongezi yapo.
Hotline 0659 211 222 au 0755 411 455
Ni vifaa vinavyohifadhia wino. Kwa mfano printer hii inatumia cartiledge no 650. Angalia pichaHapo kwenye cartilage ndo sijakuelewa kabisa....ndo nin hiyo na kazi yake ni nin?