Tanki JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 538 Reaction score 248 Sep 3, 2020 #1 Wakuu habari zeunu. Kijana wenu nahitaji invetor NDOGO kabisa maana nataka kutumia kwa ajili ya laptop tu. Ubavu wangu ni Elfu 30 cash niko nayo hapa. Naweza kuja kuifuata popote kwa hapa Dar. Mawasiliano 0769616581
Wakuu habari zeunu. Kijana wenu nahitaji invetor NDOGO kabisa maana nataka kutumia kwa ajili ya laptop tu. Ubavu wangu ni Elfu 30 cash niko nayo hapa. Naweza kuja kuifuata popote kwa hapa Dar. Mawasiliano 0769616581
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,205 Reaction score 6,781 Sep 3, 2020 #2 Yaan unataka kwa matumizi ya PC tu...?
Tanki JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 538 Reaction score 248 Sep 4, 2020 Thread starter #3 Shombe la Kisomali said: ndio Shombe la Kisomali said: Yaan unataka kwa matumizi ya PC tu...? Click to expand... Yaan unataka kwa matumizi ya PC tu...? Click to expand... Ndio mkuu
Shombe la Kisomali said: ndio Shombe la Kisomali said: Yaan unataka kwa matumizi ya PC tu...? Click to expand... Yaan unataka kwa matumizi ya PC tu...? Click to expand... Ndio mkuu
Y Yuyo Ahumile Shamalendi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 993 Reaction score 785 Sep 10, 2020 #4 Kwa huku nyanda za juu kusini watt 150 zinauzwa 25,000 (makampuni ya Sundar, Digtec, Aboder, Panasoanic na mengine mengi bei ni hiyo hiyo)
Kwa huku nyanda za juu kusini watt 150 zinauzwa 25,000 (makampuni ya Sundar, Digtec, Aboder, Panasoanic na mengine mengi bei ni hiyo hiyo)
Y Yuyo Ahumile Shamalendi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 993 Reaction score 785 Sep 10, 2020 #5 Kwa hapo Dar nenda kwenye maduka ya vifaa vya Solar utapata kwa bei rahisi sana.