Dubai Market
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,144
- 1,542
- Thread starter
-
- #21
Hakika umeongea point mkuu,Ndugu kuwa muelewa.. gari usipoendesha muda mrefu unaloose control.. ndio maana kazi za madereva zinataka experience.. yaani asome veta mwezi mmoja ajue kisha akae mwaka mzima bila kugusa gari.. halafu asikosee kweli?
Nashukuru kwa ushauri kiongozi[emoji120] ubarikiweKikubwa ni control ya gari, ongea na huyo boss awe anakupa gari unapiga mazoezi barabara za mtaani soon utapata ujasiri wa kujichanganya na wenzio barabarani
Nitafanya kama ulivyonishauri mkuu shukrani kwa ushauri[emoji120]Kama una muda uwe unaenda mitaa ya Bandarini kuanzia geti namba 5 muda ya saa 10 foleni ikianza.
Jichanganye uongee na wale madogo wa kuuza karanga/sigara uwa wanaachiwa kusogeza gari za trip town zenye container empty.
Kule utapata uzoefu mzuri wa manual maana madereva wenye Mishe zao huacha gari wasogezewe, utapata kujiamini kwa kuendesha manual vigongo za Madina 2001 na Motichand.
Itakuwa vema ukijiunga kwenye kikundi cha kwayaMimi: Oooooh Mungu nisaidie niweze kula njaa inauma
Mungu:Malaika hakikisheni mimi anaishi ndani ya shamba la mahindi ili asije kufa njaa
Mimi: Ooooooh Mungu nisaidie niweze kula njaa inauma
Unapatikana wapi mkuu utakuwa umenisaidia sananjoo na mafuta 20L unafanya mazoezi siku nzima
Heeeee!njoo na mafuta 20L unafanya mazoezi siku nzima
Hayo ndo matatizo ya vyuo vyetu. Watu wanamiliki vyeti ila ukuzi hawana. Si veta tuu Hadi vyuo vikuu.
Mazoezi ya kuendesha gari veta ni madakika tuu halafu Mambo mengine yote ni theories tu.
Duh[emoji15] aisee!Huku vyuoni ndio hovyo kabisa, bora hata Veta
Mbona umestuka?Heeeee!
20ltsMbona umestuka?