PharaohMtakatifu JF-Expert Member Joined Jul 3, 2023 Posts 713 Reaction score 1,209 Jan 16, 2024 #1 Wakuu habar za mwamko? Nahitaji machine ya kuvunia mpunga Kwa ajiri ya kazi ya kuvuna mpunga msimu huu kuanzia mwezi4. Nahitaji kujua aina ya machine iliyo bora na upatikanaji wake wa spears pamoja ana uimara wake. Nahitaji kujua Bei elekezi na sehemu ya kuipata kwa uaminifu mkubwa. Hivyo Kwa yeyote mwenye uzoefu na machine hizi ndogo za kuvunia mpunga anipe ABC. Kama machine inaweza kuvuna heka ngapi kwa siku. Machine inatumia lita ngapi Kwa heka Moja. Location nipo Kanda ya ziwa: Geita, Mwanza, Shinyanga ndo sehemu nitazofanyia kazi hii. Nimeamua nipo serious 100% Ahsanteeni sana na karibuni Kwa michango yenu. Your browser is not able to display this video.
Wakuu habar za mwamko? Nahitaji machine ya kuvunia mpunga Kwa ajiri ya kazi ya kuvuna mpunga msimu huu kuanzia mwezi4. Nahitaji kujua aina ya machine iliyo bora na upatikanaji wake wa spears pamoja ana uimara wake. Nahitaji kujua Bei elekezi na sehemu ya kuipata kwa uaminifu mkubwa. Hivyo Kwa yeyote mwenye uzoefu na machine hizi ndogo za kuvunia mpunga anipe ABC. Kama machine inaweza kuvuna heka ngapi kwa siku. Machine inatumia lita ngapi Kwa heka Moja. Location nipo Kanda ya ziwa: Geita, Mwanza, Shinyanga ndo sehemu nitazofanyia kazi hii. Nimeamua nipo serious 100% Ahsanteeni sana na karibuni Kwa michango yenu. Your browser is not able to display this video.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,629 Reaction score 47,080 Jan 16, 2024 #3 Kama hiyo mashine inaweza kuvuna ulezi pia naihitaji, nahitaji pia mashine ya kupura ulezi
Ahead JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 2,406 Reaction score 2,727 Jan 20, 2024 #4 Dah kuwa makini unapochagua ni vema kuona inafanya kazi usiishie kwenye video za mitandao
dojonase JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 1,734 Reaction score 2,423 Jan 23, 2024 #5 Agiza tajiri si una Smart phone