Simu yangu nikirecord video inatoa video zenye Size kubwa sanaa hadi nashangaa! Sasa Jana nimerecord video yangu ina MB 525 kwa dakika 3,hahitaji kupunguza sanaa hii size bila kupoteza quality ya Video yangu kuanzia Sauti hadi muonekano
Hauwezi kupunguza size bila kupoteza quality, ila hata quality ikipungua bado itakuwa sio mbaya. Kama una PC unaweza kufanyia hiyo conversion nakuashauri download program inaitwa Handbrake (https://handbrake.fr/).