Msaada: Nahitaji kuonana Rais Mstaafu JK Kikwete

Msaada: Nahitaji kuonana Rais Mstaafu JK Kikwete

Popular president jakaya kikwete A good former president
Siku zote kizuri hujidhihirisha kikiondoka, alipokua madarakani mlimdhihaki, mlimtukana, wakawa wanagoma makazini kisa kuongezewa mshahara, na mzee wa watu hakua na hiana akaongeza mshahara na posho kede kede, lakini bado haikutosha malalamiko yaliendelea tu tena kwa kumdharau, sasa wagome wakati huu, wakati huu sio wa kucheza tuko na baba mwenye msimamo wake ukigoma kula tu wachapwa viboko na kufukuzwa nyumbani, sio kama baba yule ukigoma kula waongezewa chakula kizuri na kubembelezwa.
 
Habari zenu,

Naomba msaada sana namna ya kuonana na mheshimiwa JK Kikwete rais mstaafu wa awamu ya 4.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Tarehe 26.4.2018 unajua ni sikukuu gani. so usiandamane nenda kwenye sherehe bila shaka atakuwepo. ikishindikana Msoga sio mbali nauli haifiki elfu 10
 
kumuona ni ngumu sana, majuzi kati jamaa yangu toka bagamoyo alifika kwake msoga akaomba kumwona mh walinzi wakamwambia lazima aandike barua ya maombi before. akiwa hapo getini magari matatu yalitoka ndani moja likiwa na wachina, jingine alikaa mh. aliwapungia mkono na full tabasam. aliwapeleka wachina ktk mashamba yake.
 
Umenigusa najisikia kuandika barua ila sasa inapitia wapi?
 
Kweli penye miti hakuna wajenzi,ni majuzi yu tulikiwabnahe yeye na familia yake
 
Back
Top Bottom