Msaada: Nahitaji kuonana Rais Mstaafu JK Kikwete

Msaada: Nahitaji kuonana Rais Mstaafu JK Kikwete

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Habari zenu,

Naomba msaada sana namna ya kuonana na mheshimiwa JK Kikwete rais mstaafu wa awamu ya 4.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Ukifanikiwa kuonana nae mfikishie ujumbe wangu(AM SORRY JK..)
 
Mwenyewe huyu mzee natamani siku moja nikutane nae ndoto yangu itakua imetimia
 
Ni Pm nikuelekeze,ila uwe na hela ya vocha isiyopungua mil 2
 
Popular president jakaya kikwete A good former president
 
Back
Top Bottom