Caine Chuhira
Member
- Sep 17, 2016
- 27
- 38
Brother shule ziko nyingi morogoro si lazima hapo cha msingi chukua uamuzi wakufuatilia uamisho umusmishe mapema kam uwezekano huo huppo.na piah kama haitawezekama kutokana na kusajiliwa kwa mitihan y taifa mtafutia tuition na apende kujisomea,baada y mitihan upate uhamisho ni hyo tHabari wanaJF !! Mimi ni Mwanafamilia mwenzenu wa Humu japo sina Muda mrefu sana ila nafurahia sana jinsi kulivyo na Ushirikiano mzuri kwenye shida na raha lakini pia taarifa mbalimbali nazipata haraka.
Mimi nina mdogo wangu yuko FORM TWO shule aliyokuwa anasoma imefungwa kutokana na matatizo ya mshahara kwa walimu na bado suluhisho hamna watoto wamerudishwa nyumbani Form two na Form four ambao ni Madarasa ya watahiniwa. Hiyo shule inaitwa BETTYMICHEL IKO WILAYA YA KILOSA MKOA MOROGORO.
Hivyo Namtafutia Shule mdogo wangu, ambayo Ada yake ni nafuu akasome tu hivyo hivyo kutokana na uwezo nilionao ni mdogo, Nilitamani aende shule yeyote lakini Uwezo ndio msemakweli.
MSAADA PLEASE, MSIUPITE BURE HUU UZI,
INTO CONSIDERATION PLEASE OVER PLEASE !!!
Hiyo heading na kilichoandikwa ni totautiBrother shule ziko nyingi morogoro si lazima hapo cha msingi chukua uamuzi wakufuatilia uamisho umusmishe mapema kam uwezekano huo huppo.na piah kama haitawezekama kutokana na kusajiliwa kwa mitihan y taifa mtafutia tuition na apende kujisomea,baada y mitihan upate uhamisho ni hyo t
NanUmejikoroga
Hatutoi uhamisho mpaka madeni yalipwe. Hapa kazi tu. Sote tunajenga serikali ya viwanda usitake kutukwamishaBrother shule ziko nyingi morogoro si lazima hapo cha msingi chukua uamuzi wakufuatilia uamisho umusmishe mapema kam uwezekano huo huppo.na piah kama haitawezekama kutokana na kusajiliwa kwa mitihan y taifa mtafutia tuition na apende kujisomea,baada y mitihan upate uhamisho ni hyo t
Huyu jamaa mjanja alijua kabsa heading kama hizi ndo huwa watu wanapenda kusoma[/QUOTE
Atakuwa ana fani ya uandishi.
ππππmbonaaa sioniii kuhusuu kushika takooh
Hata Mimi niliingia haraka ili nione dada yake anavyoshikwa takombonaaa sioniii kuhusuu kushika takooh
Sio Tunapenda?Huyu jamaa mjanja alijua kabsa heading kama hizi ndo huwa watu wanapenda kusoma