H henry mbata Member Aug 20, 2016 26 7 Nov 22, 2016 #1 Kwa anayejua ada za vyuo vya ualimu wa Secondary kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma anisaidiae. Tafadhali karibuni
Kwa anayejua ada za vyuo vya ualimu wa Secondary kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma anisaidiae. Tafadhali karibuni
ibrahimomarybrai New Member Oct 20, 2018 1 0 Oct 22, 2018 #4 Write your reply...tafadhal, anayefaham ada ya vyuo vya ualimu vya serikali naomba anisaidie
M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Jan 30, 2012 1,989 1,179 Sep 23, 2019 #5 Mdau Makin said: Laki 6.. michango haizidi laki.2 Click to expand... Je Accomodation na Chakula anapewa chuoni?
Mdau Makin said: Laki 6.. michango haizidi laki.2 Click to expand... Je Accomodation na Chakula anapewa chuoni?
M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Jan 30, 2012 1,989 1,179 Sep 23, 2019 #6 mzee wa giningi said: Laki sita karo kwa mwaka Click to expand... Je Accomodation na Chakula anapewa chuoni?
mzee wa giningi said: Laki sita karo kwa mwaka Click to expand... Je Accomodation na Chakula anapewa chuoni?
M mteule senior JF-Expert Member Oct 4, 2015 281 192 Jul 19, 2020 #7 Mzalendo_Mkweli said: Je Accomodation na Chakula anapewa chuoni? Click to expand... ndio