Wakuu habari.
Nina shida ya kutaka kujifunza ufundi wa simu hususani Smartphone kwa upande wa Software problems.
Shida ni kwamba sina uelewa kuhusu mambo yahusuyo masuala haya. Hivyo basi naomba mwenye kufaham lolote anijuze kuwa nianzie wapi ili kufanikisha azma yangu hii?
NB: Nahitaji kujifunza kwa njia ya mtandao.