Processr imeharibika!!!!!!! Sio kwamba unataka ku upgrade. Ebu nijuze nini kimeufanya ujue kuwa processor hasa ndiyo ndiyo imeharibka na sio kifaa kingine.
Usije ukaagiza Porcceosr na bado mashine kaendelea kasumbua tu. Zaidi ya Kutaja
HP compaq taja
Model ili ileweke inatumia Ubao mama(MOBO specs) wa aina gani ambao unaweza kusaidia kuelewa aina ya Procssor yako.
Otherisiwe kimbilio kwanza nenda kwenye Tovuti ya HP download maintance manual. Kama objective yako sio Kupgrade usikimbiie kununuaa Porccesor.