Revo Busungu
Member
- Oct 7, 2015
- 37
- 12
NACTE nimewatafuta but hawajarespond chochote. Nina kosa ndio, mimi ni form IV leaver nimeapply kwa awamu ya pili vyuo vitatu vya technology, ngazi ya diploma lakini nikaja kugundua kuwa guide book inaelekeza kuwa form IV leavers wote lazma tupite kwanza NTA level 4&5 ili tuingie diploma(NTA level 6).
Sasa nikiingia kwenye profile yangu hamna option ya kuchange category ili niapply kwa ngazi ya certificate.
Please msaada, nini cha kufanya?
Sasa nikiingia kwenye profile yangu hamna option ya kuchange category ili niapply kwa ngazi ya certificate.
Please msaada, nini cha kufanya?