45,000 mbona simu kubwa kabisa hiyo,. watu tunahangaika mpaka na vifone v2 + ya 17,000 na ikiingia password tunaenda iflash kwa 5000 na ikiingia maji tunasafishiwa kwa 3000. maisha yanaenda kikubwa pumzi na uzima.
wee endelea na XIOMI yako ya 700k au oppo yako ya 500k.