Kwa fundi gani ulienda akashindwa mkuu, sina file ya hizo samrt vitochi ila zote za kuganda naziponesha ndani ya dk 2 unaanza kuwasiliana. Ilimradi isiwe na shida ya emmc tu.Tafuta mtu wa tigo akuuzie hivi visimu vyao huwa vnazngua sn vnaishia kwny logo ukiwasha mafund wa kitaa hawawez ila ukipeleka tgo dk 10 tu tyr na ni bure kbs kwaiyo kama unataka file hiyo mtafute mtu wa tgo
Nilikuwa katoro stasahau maana hakuna tgo shop ilibd niende mwanza kilikuwa na tabia ya kuwaka na kuishia kwny logo na ndo ugonjwa wa hivyo visimuKwa fundi gani ulienda akashindwa mkuu, sina file ya hizo samrt vitochi ila zote za kuganda naziponesha ndani ya dk 2 unaanza kuwasiliana. Ilimradi isiwe na shida ya emmc tu.
Emmc (embedded Multi-Media Card)Kwa fundi gani ulienda akashindwa mkuu, sina file ya hizo samrt vitochi ila zote za kuganda naziponesha ndani ya dk 2 unaanza kuwasiliana. Ilimradi isiwe na shida ya emmc tu.
View attachment 1862173
FILE LA TIGO SMART KITOCHI ILO HAPO NINALO LINA GB 1 NJOO UCHANGIE BANDO NIKUTUMIE #0625796805
ndiyo mkuusize 1.93 gb kweli ndugu?
lina tumika kwenye program gan?ndiyo mkuu
SPD FLASH TOOL/ RESEARCHDOWNLOADlina tumika kwenye program gan?
(gsm aladin, sp flash tool au miracle thunder crack?
[emoji2][emoji2]kisimu kama kile hakiwezi kuwa na file kubwa hivyo storage yake yenyewe ni 4GB. Hilo file ni la virtual machine ya linux (based on its name) jamaa anakuingiza kingi.size 1.93 gb kweli ndugu?
Jf bhana ebu rudi kaangalie screen shot ya file lenyewe hapo juu na ndo mana nikalipiga picha kwasababu ya wajuaji kama nyie mwenye shida atanicheki[emoji2][emoji2]kisimu kama kile hakiwezi kuwa na file kubwa hivyo storage yake yenyewe ni 4GB. Hilo file ni la virtual machine ya linux (based on its name) jamaa anakuingiza kingi.
[emoji2][emoji2]kisimu kama kile hakiwezi kuwa na file kubwa hivyo storage yake yenyewe ni 4GB. Hilo file ni la virtual machine ya linux (based on its name) jamaa anakuingiza kingi.
hata mimi ndio maana nikashangaa smart kitochi ibebe mzigo wa GB 2.9?🙄🙄🙄 hapo naona firmware itakuwa folder la t-smart hayo mengine sio. capacity ya simu inaendana na firmware size yake, kaiOS ni lightweight OS na hata apps zake ni ndogo sana less than 5mb, sasa ukiniambia hizo gb karibia mbili hata kwa fimbo siwezi amini.
Hilo adimu labda kwa wanaouzaMwenye file la itel A24(L5007) anisaidie
nipe nambaIyo hapo haina password. Lete buku mb nakurushia wasap saivView attachment 1870590
Kupitia wewe nimefanikiwa shukrani,.Iyo hapo haina password. Lete buku mb nakurushia wasap saivView attachment 1870590
Naomba hilo file mkuu model ni FP 789L-TNinazo za tigo mkuu
Ninazo za tigo mkuu
Umeeleweka,.
Umeeleweka,.