Ww mtoa mada..taja model ya simu yako tukupe file...au unataka za kununua?
Siwez upload file zote bando lenyew mzozo..aseme anayotaka kama model nnayo ntaiweka hapaNajua una file nyingi za smart kitochi.
Mwaga zote ili mwenye model yake apakue
Anhaa nmekusoma mkuu...kwaiyo unasubr alichakachueNdiyo jamaa alihitaji aoneshe ufundi wa kufungua mafile yenye password kwahiyo nimemtumia hicho file apambane nalo. Hiki kufile hata mm nakihitaji. Rejea post yangu hapo juu
Anhaa nmekusoma mkuu...kwaiyo unasubr alichakachue
Azumi LK4, Smart 4G ya Voda ina KaiOS 2.5.2Siwez upload file zote bando lenyew mzozo..aseme anayotaka kama model nnayo ntaiweka hapa
Ninazo za tigo mkuuAzumi LK4, Smart 4G ya Voda ina KaiOS 2.5.2
Kuivunja itumie network zote SIM 1
Nitakucheki mkuu, nilikuwa safarini jana so asubuhi nimeona text notification.Najaribu kuweka file hapa linanigomea. Linaniandikia Low memory.......
Ni file la Kb
INFINIX SMART 5 X657 DA FILE [jnt_mobile_software]
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Ninazo za tigo mkuu
bado ila nilipitia mitihani kidogo ya kimaisha,.Mleta mada natumae umepata muongozo...
FP 789L-TSiwez upload file zote bando lenyew mzozo..aseme anayotaka kama model nnayo ntaiweka hapa
hata mimi pia niliangaika sana kutoa password za (rar na zip) file,. na nimetoka patupuNdiyo. Anasema ana uwezo huo. Ngoja Nisubiri mrejesho
Natafuta sana hili file pia wakuu, maana ukidownload yako zipped. Au mwenye software ya kucrack hizi password za zipped file kama isunshare ambayo iko cracked pia msaada tafadhaliFP 789L-T
Ni smart kitoch cha TIGO
Ukipata weka hapaNatafuta sana hili file pia wakuu, maana ukidownload yako zipped. Au mwenye software ya kucrack hizi password za zipped file kama isunshare ambayo iko cracked pia msaada tafadhali
Kinachotia hasira kila file unayojalibu kupakua ina zaidi ya Mb 130 ukijalibu mafile 4 tu 1Gb inapiga alarm,.Natafuta sana hili file pia wakuu, maana ukidownload yako zipped. Au mwenye software ya kucrack hizi password za zipped file kama isunshare ambayo iko cracked pia msaada tafadhali
Una maanisha tigo shop au?Tafuta mtu wa tigo akuuzie hivi visimu vyao huwa vnazngua sn vnaishia kwny logo ukiwasha mafund wa kitaa hawawez ila ukipeleka tgo dk 10 tu tyr na ni bure kbs kwaiyo kama unataka file hiyo mtafute mtu wa tgo
Tigo shop ndo wana file za hzo simu unadhan wanaweza kukupa free ili uka unlock visimu vyao eti?Una maanisha tigo shop au?
Umeeleweka,.Tigo shop ndo wana file za hzo simu unadhan wanaweza kukupa free ili uka unlock visimu vyao eti?
Yan hapo chonga dili na mtoa huduma wa tigo shop akuuzie hilo file la hivyo visimu upge hela maana tatzo la hivyo visimu ni kuwaka na kuishia njiani pia ku unlock line 1 iwe free