Habari wadau wa JF. Nina Laptop ambayo ina matatizo ya kioo ambacho kimepasuka na kuvujia wino.
Model ya Laptop ni 15-ac130nia aina ya HP. Ukubwa wa kioo ni 15.6 Inches.
Yeyote mwenye nacho au mwenye kujua mahali ambapo nitakipata kwa gharama nafuu nahitaji msaada huo tafadhali. Karibu!