Msaada nahitaji dawa ya stress

Kaa mbali na wanaokupatia stress.... Stay, far and away from technology... So no for an answer as many times as you can...

Hutokaa uwe na stress...


Cc: mahondaw
 
Tusiwe hivyo please mtu akiomba msaada hamna haja kujibu ovyo. Kama huna jibu ni bora ukae kimya. Tusishushe heshima ya JF. Tufanye hapa kuwa mahali pa watu kusaidiana hata kimawazo na kupeana ushauri.
 
Stress sio kitu automatic kama vile mawazo. Bali ni madhara ya mawazo yasiyo na ufumbuzi yanayozunguka akilini mwako. Hvyo basi ni kweli kabisa unakijua chanzo. Ukisema chanzo utapata ushauri more practical
 
kunywa sumu ya panya kwani inAuzwa shs ngapi kama huna hela niko tyr kukukopesha bure
 
Jinsi ya kuepuka stress
1)usiweke malengo yasiyofikika
2)Jifunze kukubali changamoto
3)Fanya maamuzi pale unapopaswa
4)Kuwa na mipango
5)Usiweke jambo linalokusumbua moyoni
6)Jali mwili wako
 
Habari wakuu
Nahitaji dawa ya stress haraka sana mnitajie inaitwaje na gharama yake
Please

========================================



Hiyo dawa hainga gharama ikiwa nguvu unazo. Piga punyeto kwa sana tu ila usisahau kunawa mikono yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom