Rocky City JF-Expert Member Joined Nov 22, 2017 Posts 1,011 Reaction score 811 Dec 8, 2017 #1 Katika tangazo la tigo hili jipya la baba ulimpatajemama kuna beat ya chini inasikika kwa mbali,naomba mwenye kujua beat hiyo huwa ni ya wimbo gani anisaidie tafadhali
Katika tangazo la tigo hili jipya la baba ulimpatajemama kuna beat ya chini inasikika kwa mbali,naomba mwenye kujua beat hiyo huwa ni ya wimbo gani anisaidie tafadhali
friendfx JF-Expert Member Joined Oct 16, 2017 Posts 249 Reaction score 260 Dec 8, 2017 #2 Subiri wanakujaa
Hebie JF-Expert Member Joined Jul 29, 2012 Posts 1,415 Reaction score 878 Dec 8, 2017 #3 Weka tangazo
Rocky City JF-Expert Member Joined Nov 22, 2017 Posts 1,011 Reaction score 811 Dec 8, 2017 Thread starter #4 Siwezi mkuu mana sijalipata,,