Wadau salam, samahani nimepigiwa simu na watu wa shirika la posta Tanzania mda huu kwa ajili ya kuhudhuria interview kesho tarehe 18 na baada ya kumaliza kuongea akakata simu. Sasa tatizo nahisi labda kakosea kuniambia tarehe maana kwa hali ya kawaida mtu anaweza pigiwa simu kwa ajili ya interview kesho yake maana kuna watu wanatokea mikoani kama mimi. Kama kuna wadau wengine wameitwa kwa hiyo kesho?