Wakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto lakini mbegu za kumbebesha mimba ndio hazipatikani.
Naomba ushauri wa kitabibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kula matunda kwa wingi hasa tikiti maji na natunda mengine, ule vizuri hakika utarudi kama zamaniWakuu nimekuwa nafanya mapenzi lakini sifiki kileleni. Hata kama nikeshe usiku kucha lakini simwagi.
Nina wake wawili sasa huyu bi mdogo niliyemwoa mwaka jana analalamika sana. Anataka mtoto lakini mbegu za kumbebesha mimba ndio hazipatikani.
Naomba ushauri wa kitabibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh pole nikajua mwanamke. Samahani sana.
Anza kula matunda kwa wingi hasa tikiti maji na natunda mengine, ule vizuri hakika utarudi kama zamani
Professor Jay....kula vizuri, fanya mazoezi, pumzisha mwili wako. Ukizingatia haya utaishi kwa matumaini.Kula vizuri, fanya mazoezi,pumzisha mwili wako by ferouz
Halilali. Linakaa hivyohivyo mpaka usingizi ukipita ndio ninanyauka lenyewe.Mkuu kuwa serious, hupigi bao?
Sasa dushe linalala vipi maana humalizi.
Sent using my Nokia Torch
Lo!Haya ndo madhara ya kutumia vumbi la kongo,mkiambiwa hamsikii haya sasa umeshindwa kumwaga..
Sent using Jamii Forums mobile app