msaada nacte wakuu

msaada nacte wakuu

weis

Member
Joined
Sep 19, 2018
Posts
15
Reaction score
22
Habari za muda wakuu naombeni msaada kila niki log in kwenye profile yangu nacte wananiambia no user name and password matched you are entry mwaka jana ilikua haizingui sana kama mwaka huu. kwa mwenye ufahamu na hii mambo naomba msaada nifanyaje. natanguliza shukrani wakuu
 
Mfumo bado hujafunguliwa rasmi hivyo nivyema kuvuta subira....
 
Shukrani mkuu nimekupata
Amna shidah mkuu.... Kikubwa zaidi kama mfumo haujafunguliwa rasmi mengi yanaweza kutokea ktk mfumo was mtandao.... Either waweza kufanya payment isifike au ikafika ila uspate huduma stahiki hivyo kuweka tangazo Lile inawalinda kwa namna moja hau nyengne kwamba lolote litakalo tokea hawausiki..... 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Thank you
 
Back
Top Bottom