Mbona ujaeleweka selection zp nacte au tcuJaman wakuu naona sipo kwnye hi selection maana naandika username inakataa na kwenye profile yangu hawajanambia chochote.nifanyeje labda.![]()
nacte c hawajatoa bado mkuu??? au unazungumzia diploma na certificate???NACTE
subir bwana mpaka watoe official...au ingia maswayetublog utaona baadhi ya vyuo vilivyo achia majina yaliyo be selectedJaman wakuu naona sipo kwnye hi selection maana naandika username inakataa na kwenye profile yangu hawajanambia chochote.nifanyeje labda.![]()
Mbona ujaeleweka selection zp nacte au tcu
Punguza wenge toa taarfa ilyokua kamil
me sija omba NACTE nimeomba kupitia TCUWewe hujachaguliwa
degreeDiploma au degree
form sixUlikua diploma holder au form six
VunjaMbona tovuti yao haifunguki
NACTE
Sawa mkuuhivi kuna haraka gani ya kujua kama umepangiwa au la...coz kila kitu si kina tolewa officially
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app