Muwe waangalifu inategemea unaomba diploma gani kuna kama za afya naona wao hutumia matokeo ya F4. Kuna diploma nyingine - F6 ndio direct entry lakini equivalent qualifications ni Certificate ya F4 + Certificate ya hiyo nyanja (mfano ICT, Laws etc).
Kwa hiyo kama ni afya na vyuo vya umma usishangae kusema matokeo hayako kwenye data base kwani hawayahitaji (labda kama kuna mabadiliko kwani serikali yetu ni mwendo mdundo).