Fredrick stephano
New Member
- Dec 24, 2023
- 3
- 3
Msaada ndugu zangu mwenzio nina changamoto ya kuchelewa kufika kileleni, inanichukua saaa mbili na bado niko strong nifanyeje au kama kuna daktari anisaidie.
situmii yaaniAcha kutumia mkongo
Kwaiyi we Jamaa unataka ufikishwe kileleni mapema.Msaada ndugu zangu mwenzio nina changamoto ya kuchelewa kufika kileleni, inanichukua saaa mbili na bado niko strong nifanyeje au kama kuna daktari anisaidie.