Mkuu, kama charger ya hiyo simu ni original na betri ipo safi basi badilisha USB cable.
Mimi nilipatwa na tatizo kama hilo, kila kitu kilikuwa safi na chaji ilkuwa inaonyesha inaingia lakini ikifika 50% ilikuwa inabaki hapohapo, niliponunua USB cable mpya mambo yakawa safi, USB zingine huwa zina shida licha ya kuwa mpya au USB huendana na charger.