Msaada:Nachaji simu haijai

Msaada:Nachaji simu haijai

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
Habari wana JF,nina simu yangu naichaji lakini chaji haijai,inaishia % 24.naomba ushauri wenu tafadhari,tatizo ni nini?
 
Habari wana JF,nina simu yangu naichaji lakini chaji haijai,inaishia % 24.naomba ushauri wenu tafadhari,tatizo ni nini?



Mkuu, kama charger ya hiyo simu ni original na betri ipo safi basi badilisha USB cable.

Mimi nilipatwa na tatizo kama hilo, kila kitu kilikuwa safi na chaji ilkuwa inaonyesha inaingia lakini ikifika 50% ilikuwa inabaki hapohapo, niliponunua USB cable mpya mambo yakawa safi, USB zingine huwa zina shida licha ya kuwa mpya au USB huendana na charger.
 
Charge system imekufa nenda kwa fundi akubadilishie haizidi ten mkuu
 
Back
Top Bottom