Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
Nashukuru kwa ushauri mkuu lakini bado najichanga ndio mana likaja wazo la kuazima,Mkuu kuna laptop used ya hata 150,000 ukitaka...ukitaka desktop ndo usiseme...weka tangazo unatafuta laptop used ya 150,000 uone watakavyokuja. Cha kuazima hakisitiri t......ko
Nashukuru kwa ushauri mkuu lakini bado najichanga ndio mana likaja wazo la kuazima,
Hofu yangu ni hizi za bei rahisi mno kuna hatari ya kuuziwa kisicho riziki/ya wizi
Jitahidi ununue, USIAZIME. Ni ushauri tu...... huyo mfadhili mueleze hitaji lako hilo.
Kiukweli hua inakua rahisi kuazimwa laptop na mwanafunzi mwenzio hata vyuoni ipo hivyo.Nashukuru kwa ushauri mkuu lakini bado najichanga ndio mana likaja wazo la kuazima,
Hofu yangu ni hizi za bei rahisi mno kuna hatari ya kuuziwa kisicho riziki/ya wizi
Awe anaenda internet cafe Ku practiceJitahidi ununue, USIAZIME. Ni ushauri tu...... huyo mfadhili mueleze hitaji lako hilo.
Hapana mkuu kuna watu unakuta labda kanunua mpya (upgrade)....ya zamani ipo tu...kwa hyo anaweza uza kwa bei poa tu.
Sawa ngoja niendelee kujichanga ili niweze kununua
Kama vipi uza hako kasmartphone kako, ongezea vijisenti ukamate laptop. Simu unatumia ya tochi tu. Kupanga ni kuchaguaSawa ngoja niendelee kujichanga ili niweze kununua
Mnunulieni laptop .Ukoo wake wote mzima Ina maana wote malofa hadi washindwe kumnunilia laptop.? Koo zingine zinatakiwa kutandikwa vibokoMnyarukoro unaniaibisha!
Mnyarukoro unaniaibisha!
Kama vipi uza hako kasmartphone kako, ongezea vijisenti ukamate laptop. Simu unatumia ya tochi tu. Kupanga ni kuchagua
Hahahah we jamaa umefanikiwa kunichekesha msibaniBoss haka ka smart phone ka promotion hata elfu 30 sizani kama ntapata mteja..hakana camera
ukundijongela nyoni mnyalukolo yaani wikudza ipa na ikinudza kusuka i laputopu ..kama nene ngendikupelye ila ndilikutali ulatigila ndikutadzile ..
Hahahah we jamaa umefanikiwa kunichekesha msibani
Mnunulieni laptop .Ukoo wake wote mzima Ina maana wote malofa hadi washindwe kumnunilia laptop.? Koo zingine zinatakiwa kutandikwa viboko
Kila la kheri boss