msaada na vlc subtitles

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
wakuu nimedownload movie pirate bay lkn haichezi na subtitles kila nikijaribu kuziweka ananidai file,,,nifanye je?

wakuu msaada wenu
 
as usual,,,views nyingi lkn no comment,,,kwamba ili haliwezekaniki tecnologicaly au?
 
as usual,,,views nyingi lkn no comment,,,kwamba ili haliwezekaniki tecnologicaly au?

mkuu unauhakika kwamba hiyo movie uliyoidownload ni embedded na subtitle au unataka ioneshe subtitle tu hata kama sio embedded na subtitle, kama ni embedded na subtitle unaweza kudownload kmplayer kwa sababu ukishafungua tu movie una drag na kuitupia kwenye player, vile inaweza kuset kwenye vlc kwa kuchagua option->preferences
 
Hiyo download imekuja na subtitles? Sio download zote zinakuja na subtitles.

Kuna site za subtitles unaweza kujaribu Subtitles - Subtitulos, Podnapisi, legendas, subtitrari au download UMPlayer (Video player inayocheza kila kitu kama VLC ) ambayo ina built in uwezo wa kudownload subtitles za movie unayocheza.
 
wakuu nimedownload movie pirate bay lkn haichezi na subtitles kila nikijaribu kuziweka ananidai file,,,nifanye je?

wakuu msaada wenu

Nenda hapa Subscene - Passionate about good subtitles
ingiza kwenye sehemu ya kusearch, jina la movie pamoja na maneno "english subtitles", yaani kama movie inaitwa njunwa wamavoko, basi, andika "njunwa wamavoko english subtitles" bila vifunga na vifungua usemi. halafu click kwenye search. utapata links kibao.
Chagua link moja wapo utakoipata inayoonesha kuwa ni ya english subtitle, dowload kwenye folder ambako movie yako ipo.

Fungua Vlc player, click File, clic open (advanced).
click add, ili uiweke location ya hiyo movie.
pale chini kuna kaboksi, weka alama ya tick kuchagua hicho kibox ambacho kipo pembeni ya maneno "use a subtitles files"

click browse, chagua hiyo subtitle file ulilodownload, halafu click play... Ngoma inogile!
 
movie zenye extension ya .mkv ndio uwa zinakuwa embedded subtitles, ila kama ni muvi za .avi au mp4, play na vlc drag n drop subtitle file ambalo extension yake ni .srt kwenye vlc itaanza kuonesha, kama haioneshi, jaribu kudownload kwenye izo site ambazo wadau wamezitaja
 
kazi nzuri wakubwa tayari naangalia movi na subtitles ,,nimechukua option ya kudownload hizo subtitles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…