Msaada na Ushauri wa haraka

Msaada na Ushauri wa haraka

ZABRON HARUNA

New Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Kutokana na amri ya rais we2,ya kuwarundisha wahamiaj haramu.

Moyo umekutwa na simanz kwan nimeathirka kwa namna 1, kwan nilikuwa mwanamke wa kitusi na tuna watoto wa 3 na anamimba,
so nilikuwa naomba ushaur ambao unaweza kunusuru ndoa yng ambayo bado naipenda,
 
pole sana dada ndo sheria za dunia hizo. Dunia hii tunabaguana wao kwa wao mimi mwenyewe ni mtanzania niishie Zambia naishi kwa tabu mpaka wakati mwingine huwa namis nyumbani.
kuhusu kunusuru ndoa yako mwambie mume wako akutafutie vibali naamini itawezekana kwa kuwa umeolewa na mtanzani na mna watoto
 
Back
Top Bottom