Msaada na ushauri pia

nutnux

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
331
500
Mimi ni kijana wa miaka 25 nipo Dar es salaam natafuta kazi yoyote ya kuniingizia kipato elimu yangu nina Diploma ya Computer Science pia nilisoma Degree ya Computer Science lakini niliishia njiani kutokana na changamoto mbalimbali.

Nina uwezo kufanya kazi yoyote ile mkoa wowote na nchi yoyote duniani. Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom