[emoji44][emoji44][emoji848][emoji30][emoji30]Wewe rudi tu maana sisi wananchi tulikuchagua ututumikie na ndo maana tulikupa hifadhi kwenye nyumba za serikali lengo tukupate kwa muda muafaka, hakuna chochote ulichotegewa zaidi tunazid kuwa na wasiwasi tu kwa nini unazid kuwa na hofu kila kukicha kwenye kijiji chako mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]Dah...popote kambi Prof. ....wewe siyo Nesi [emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX160
achana naoNaona wana kijiji wanachonga sana juu yangu
Mkuu ukisikiliza binadamu hutoweza kuishi kwa amani. Wewe nenda tu fanya kama vile hakuna kilichotokea. Kwa maana kila binadamu ana makandokando yake. Na pia amini kwamba hakuna anayekusaidia wewe kuishi. Na hicho ulichokifanya ni uamuzi wa maisha yako so long as hujamdhuru mtu.Nishauri wayforwad mkuu.. Kelele zimezidi kijijini
Jr[emoji769]