Protein supplements nyingi hazina madhara kwa sababu ni protein za kawaida kabisa kwenye chakula ambazo zimekuwa concentrated vya kutosha kukupa mtumiaji faida.
L-carnitine ni protein ambayo hutumika kusafirisha fatty acids kwenda kwenye cells kutengeneza energy. Hizi ni nzuri kwa wenye mafuta mengi/mabonge ambao wanajenga msuli kwani hufanya yale mafuta yachomwe ili misuli ipate nguvu.
Wewe na mimi tuna tatizo moja. Mi nashauri utafute Mass gainers ambazo zinakusaidia wewe kupata calories za kutosha kujenga msuli.
Mimi sijanunua bado ila nina mpango wa kuunganisha mass gainer na mazoezi ya mwili
Asante sana mkuu hapo nitakuwa nimekuelewa sana kwa upande wangu sina mafuta hata kidog mpk hapa umenifungua sana kaka shukrani sana mkuu
Kuna vyakula vingi vyenye calories nyingi. Unaweza google.Hahahah mkuu hapo kwenye karanga kidog mtihani sintakuwa kila siku napiga bao amna niko shule uboyzin huwa sizipendi kuwa minajili ya kuwa zinazalisha sana mbegu za kiume
lakin hapo kwenye parachihi nimekusoma sana kaka,kingine sas ndo nimepata dawa alafu body imekuwa mpk kwa kiwango ninachotaka nikacha sitaporomoko na kurudi kamanilivyokuwa awali yani mwembamba?
Kuna vyakula vingi vyenye calories nyingi. Unaweza google.
haishauriwi kuacha mazoezi. Pindi utakapoacha kuna chemical inaitwa myostatin inatengenezwa kwa wingi na misuli na hii hupunguza kasi ya kujenga misuli na uongeza kasi ya uvunjwaji na hivyo unapungua.
kuwa fit kiafya ni lifetime commitment.
Supplements unaweza kuacha. Kwa sababu supplements lengo lake ni kukusaidia kuleta mabailiko ya mwili wako kutoka aina moja kwenda nyingine. Ila kumaintain gains ni mazoezi na msosi mzuri wa afya labda kama huwezi kupata msosi mzuri hapo mbeleni ndio utumie
Mkuu sina maana ya kuacha mazoezi hapana yani hizo supliments mana nahisi japo sijui kivile the more you take supliment the highers you build your muscles???
Swala la mazoezi huwa naliita conties assmesnt halina kuachwa japo kuna kudoji iv siku moja mbili tatu kama mambo ya kibana hapo utakuwa umenisoma kaka.
Supplements unaweza kuacha. Kwa sababu supplements lengo lake ni kukusaidia kuleta mabailiko ya mwili wako kutoka aina moja kwenda nyingine. Ila kumaintain gains ni mazoezi na msosi mzuri wa afya labda kama huwezi kupata msosi mzuri hapo mbeleni ndio utumie
Mi nazifahamu mass gainer fulani anauza mhindi fulani anafanya kazi pale Sparta gym. Bei zake ndio hizo. Mimi naenda kununua ya 180,000
Sasa mkuu hizi naziona ziko nyingi nimejaribu kugoogle na naona range ya bei yake ni less than 100 USD mkuu nisaidie ipi iko fresh mkuu
Mi nazifahamu mass gainer fulani anauza mhindi fulani anafanya kazi pale Sparta gym. Bei zake ndio hizo. Mimi naenda kununua ya 180,000
Poa poa
Sawa mkuu ukipata hilo jina utanipm ili na mim ni nunue niko arusha naweza kupata kwenye haya maduka yetu huku kama sitopata ntakucheki