Msaada mzuri: Kwenu mliozaliwa March

Huko kunaitwa kutongozwa my march mate
 
sawa money penny hongera kwa uzuri ulionao,,lakini nakushauri mkabidhi bwana yesu maisha yako maana huu mwili tunaohangaika nao siku moja tutauacha ardhini.

imetoka kwa pastor mmoja huku JF amesema nimsaidie kucomment hivi.....
 
Noma sanaaa

Sawa street pastor or let me just say E-Pastor. Me mbona nimeshamkabithi Yesu maisha yangu?! Embu mwulize vzuri Yesu kama hajakwambia ananifahamu!

Huko kunaitwa kutongozwa my march mate
Kiru! Naona alitumia njia mbadala ila na mie nikajikausha kama sijui anachoongea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…