Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Ahahaha me nakwambia yule statistics zake sioTuliozaliwa March tuko vizuri kwakweli japo mimi sina chura mkubwa hahahaaaaaa
what about men in march
Ahahaha we mwongo karudie tenaKuna kaukwel kiasi flani upande wa talent na pia ni watu wanaopenda kuwa independent. Lakini kwenye mapenzi mara nyingi huishia kuwa single mother's au ndoa zenye migogoro. Source (Kautafiti binafsi)
Aisee, huyo jamaa mjanja anatumia hadi opportunity za siku za kuzaliwa.Ahahaha we mwongo karudie tena
Ndoa za kudumu miaka 50 zipo march
Tangazo hilo limedhaminiwa na viganja.Money Penny asante kwa kutufahamisha una msambwanda wa kufa mtu/mgongo classic/shibuda shibudee whatever that means!
NB: For Promotional Use Only.
Daby hebu thibitisha hiloTangazo hilo limedhaminiwa na viganja.
La tangazo au chura? Teh itokee tuDaby hebu thibitisha hilo
Tuliozaliwa March tuko vizuri kwakweli japo mimi sina chura mkubwa hahahaaaaaa
La chura, we si umezaliwa mwezi pendwaLa tangazo au chura? Teh itokee tu
Tuliozaliwa March tuko vizuri kwakweli japo mimi sina chura mkubwa hahahaaaaaa
Sisi me tulipewa naniiiiiihiii you know eehLa chura, we si umezaliwa mwezi pendwa
Mbona na kuzaliwa kwangu march sina hata lepe la chura, ukntazmama huwez jua mgongo umeishia wap wala mapaja yameanzia wap, Mwambie arudie huo utafiti. N.b sio mim tu kuna mwngne namjua hana hata dalil ya kuwa chura yaweza ota.
upande wetu wanaume VeepHappy Sunday kwenu wote
Kuna shemela bwana alifanya statistics yake ya kibishi sijui alitumia muda wa kutosha au wa kulipua? kiru me hata sijui
Sasa ulipofika mwezi march, akaniambia hivi
Shemela: hongera Money Penny kwa kuzaliwa march, ila nikuulize, kwanini wadada wengi waliozaliwa march wana chura sana/Msambwanda wa kufa mtu/ Migongo classics/ Shibudi Shibudee?!
Me nimefanya utafiti hapa nakosa kujua kwanini Mungu alimwaga vyura kwa wadada halisi mwezi March, miezi mengine wengi wao wana vyura vya kutengeneza
We mwangalie mke wa Ice T, yule Coco, kuna Kmichelle, Aretha franklin, Tamar Braxton, Money Penny, wote wana chura halisi
Alafu march babies mna Talent za kufa mtu, breath taking mind blowing talents, alafu mna roho nzuri sanaaaa hakunaga kama nyie roho zenu za pekeee
Money Penny: kwahiyo sasa point yako ni ipi labda?!
Shemela: kuwa Mungu kawapendelea sana March Babies, ni kweli wanavyosema Legendaries are born in march hawajakosea kabisaa
Eti wapendwa hili nalo linaukweli au shemela alikuwa anatafuta kiki?!
HahahahaSisi me tulipewa naniiiiiihiii you know eeh
Wenzetu wakapewa chura. Tehteh